Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
- Thread starter
-
- #221
Kwahiyo ww ukiambiwa kuna pesa tu huachi,duuuuhNiambie basi la mama,. Unaachaje hela na weekend kama hii mahii π₯²??
Evelyn Salt bro em njoo nisaidie kwani kumbembeleza mrembo anipe hiyo id ya Sponsor
Hamna mpwa, kama mtu hajui kuthaminisha kitu tunamwambia tuπ kama ni kununua basi thamani halisi iangaliwe, kama ni mahusiano hapo ni upendo unatawala so haijalishi ni kiasi gani.Dahπππ
ndio zarau zenyewe hizi anazozisemea
Maria Bwana, akishapewa kibend hutamsikiaweeee,. em nipasie kwanza mmoja hao wanaotamka hela niruke nae chap
Type yangu kabisa huyoππ
Mpaji kasema apewe jero ya kachori, nashauri aongezwe mia tatu ya u-fresh, atakulaje kachori kavu, jumla iwe mia nane.40k? Kajifunze kwanza value for money mkuu!
π π πMpaji kasema apewe jero ya kachori, nashauri aongezwe mia tatu ya u-fresh, atakulaje kachori kav, jumla iwe mia nane.
Hakuna thamani ya pesa Kwa mwanadamu mtu akikupenda anakupa bureMpaji kasema apewe jero ya kachori, nashauri aongezwe mia tatu ya u-fresh, atakulaje kachori kav, jumla iwe mia nane.
Bila hata kuambiwa nikihisi tu kuna hela naongoza mwenyewe njiaππKwahiyo ww ukiambiwa kuna pesa tu huachi,duuuuh
Kumbe Leejay49 ni bure bro kuwa muelewaHakuna thamani ya pesa Kwa mwanadamu mtu akikupenda anakupa bure
hatakama ndio hadi 40k ya kuionea huruma kweli kwa mrembo kama huyo,.Hamna mpwa, kama mtu hajui kuthaminisha kitu tunamwambia tuπ kama ni kununua basi thamani halisi iangaliwe, kama ni mahusiano hapo ni upendo unatawala so haijalishi ni kiasi gani.
Wenzako wanataka wanunue, wewe unataka kupendwa?Hakuna thamani ya pesa Kwa mwanadamu mtu akikupenda anakupa bure
Kisha akabidhiwe kwa Lucas Mwashambwa wabubujishane machoziπ π π
Mwanzo nikawaza aftatu na sweta la ccm vingemtoshaπ
Nawasaidia tu vijana, kwa uzee huu labda kulamba asali tu ndio nawezaπ π πhatakama ndio hadi 40k ya kuionea huruma kweli kwa mrembo kama huyo,.
Anko punguza dharau sie tunataka Antie mdogo saiziπ
π π π π π π π π πKisha akabidhiwe kwa Lucas Mwashambwa wabubujishane machozi
Kwahiyo kosa langu liko wapiWenzako wanataka wanunue, wewe unataka kupendwa?
kwanza atatamani aikimbie id yake,. maana vijana watakuja kumfungulia uzi na mapdf ya hadi Lodge waliyoenda kunjunjana watayaweka hapaππMaria Bwana, akishapewa kibend hutamsikia
Sasa wa Jf ndio wanazarau wanamtangulizia hela wakati binti anataka kupendwa kwa dhatiNawasaidia tu vijana, kwa uzee huu labda kulamba asali tu ndio nawezaπ π π
Nashauri atafute upendo, ule wa dhati kabisa, hata jf kuna vijana wanaweza kupenda.
Huna kosa madam mzuri, kaa kwa utulivu utapata penzi...Kwahiyo kosa langu liko wapi
Oooh sawaHuna kosa madam mzuri, kaa kwa utulivu utapata penzi...