Wanaume wa humu mna dharau sana

Mlipe VAT
 
Wengine hatutongozi, tunaongoza.

Usituchukulie poa wote kutuweka kundi moja.
 
Kumbe ni kula kulala bado unaishi bure nyumbani, ondoka ujajitegemee ndo akili zitakuja, hapo ndo utaweza kupost mada za maana.
Dah nataman iwe hivoo ,sema wazazi wamesafiri na Mimi ni kama mlinz Leo nataman ningeenda kanisani,mniombee
 
Asa tufanye kitu kimoja,. em hiyo 50k niwekee kwanza kwenye namba yangu wakati nambembeleza bibie aikubali hela kabla hujabadili mawazoπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Hahahahaha. Hii kali we sema ,mwambie asione soo ,sijabadili mawazo yeye tu
 
Hiyo picha kwenye profile/ avatar kama ni yako basi nimesha ku evaluate na kuku analyze, sitaki kusema mengi nisije kukuvunjia heshima, cha muhumu kila kitu humu usichukulie serious.
 
kwani hao wanaume wenyewe wanasemaje 🀣🀣🀣🀣
 
We kuwa wazi tu kuna aliyemega tundra hakukupa hata senti! Sio unakuja kuwaangushia hasira wanaume wote humu JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…