Wanaume wa humu mna dharau sana

Test me
 
Wimbo wa zamani kidogo ila unatufaa sana enzi yetu.
Embu usikilize vizuri mleta mada , hutakosa mawili matatu.
Your browser is not able to play this audio.
 
Hakuna aliejitokeza kwenye mtoko wako ili atekwe?
Ni kima tu ambaye atakubali kuingizwa kingi kindezi hivi...kisa tamaa ya ****.
Vidume wengi humu cha msingi ni nauli kutokutumwa hata kama ni 500 ya daladala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…