Wanaume wa humu mna dharau sana

Wanawake kutongozwa kwenu ni fahari eeeh?
 
Leo ni siku ya Pentecost, sisi wakatoliki tunaadhimisha ibada maalumu ya kumpokea Roho Mtakatifu kama tulivyoahidiwa na Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristu kwamba atatuletea msaidizi na roho ya kutuelekeza kuenenda katika njia iliyo ya kweli. Tunawakaribisha Watz wote muungane nasi katika kuienzi siku hii maalumu. Amina
 
My ngoja nije dm Mimi Sina dharau
 
Amina mtumishi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ