Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Sms zinakuwa hivi

1:05
Mambo valentine

2:40
Habari yako mrembo

4:00
Mbona kimyaaa mamy

6:9
Nijibu basi nina shida na wewe

8:09
Nitext whastap +45456888

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa hapo ndo namlia bati kama sijaona vile
 


Hahaha hahaha hapo kwenye red unanisema mm kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…