Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Kumbe ndio hujawahi kujibu PM yangu.

Daaaahhhh, mtaani vyuma, JF PM hujibiwi, kazini Boss hovyo, Mama Chanja kashitaki kwa DAB.

Sina pa kwenda labda segerea[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Poleeee sna ndugu
 
Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume wa Jf kwamba hawapati PM kutoka kwa warembo wa Jf.

Mfano Zero IQ na Da 'Vinci na wengine wengi wakilalamika kufungiwa vioo.

Sasa niwaambie siri wanaume ambayo hamjui.

Yani ukimtumia tu mwanamke PM hakujibu mpaka aende kuangalia unashiriki ktk majukwaa gani?

Thread zako ni za aina gani?

Comment zako anafukua fukua makaburi kwanza?

Akishapata jibu ndio anarud PM kukujibu.

Hawa ndo wanaume wanaojibiwa haraka PM zao
Wale waliopo Great thinkers
-Jukwaa la siasa
-Jamii inteligance
-Habari na Hoja mchanganyiko
-Jukwaa la magari(No 1)
-Jukwaa la Madaktari
-Biashara na ujasiriamali
-Kilimo na mifugo
-Biashara na matangazo
Kifupi kwenye yale majukwaa magumu magumu.

Hawa wafuatao huwa wanafungiwa sana vioo PM kutokana na kushiriki kwenye haya majukwaaa.

-Chitchat
-MMU
-Celebrity[emoji16][emoji16][emoji16]

Hata mimi Demiss nilikuwa na hiyo tabiaa kabla sijaolewaa ukinitumia PM sikujibu mpaka nikafukue makaburi yako ya threads na comment zakoo nioneee .

Kile unachoandika ndiyo kipo kwenye akili yakooo .
Siwez kumjibu mwanaume anayeandika comment anaweka emoj[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] lazima nikukaushiee tu.

Kundi la mwisho hawa wanaume walinipa wakati mgumu sana mtu yupo Jf toka mwaka 2014 lakini hajawahi kuanzisha uzi kucomment wala kulike ila anakuja PM na yupo online masaa yoteeee.

Aisee, kumbe ndio vigezo vyenyewe. Ngoja upepo wa Makonda upite nijaribu bahati yangu.
 
Aaah sasa pso wakileta ngele. Nkimanile sana kyakikunde wikiuga numulelwe kwilyamba.

PM ni ndishe kusilye ingo, ungelile mpana ne?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]tile ka mpana muntu uyandika mambo ma kisunguuu wani waze kupm yakooo

Kutakile antu na atete msimamo kana ushemeji wako Mshana
 
sorry mkuu, mi npo kundi gan? Maana si haba angalau unanijibu pm zangu.. Cha kusikitisha tupo wote mtaa mmoja hapa dom makao makuu, ila hutak tuonane Demiss
 
Back
Top Bottom