Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeeWa biko hawana siled wala comment ila ni wahengaaaa wapo mpaka jukwaa la wakubwaaa
Unaweza kuvumilia hata salamu tu, cha ajabu atakukera mwanzoni tu, tatizo tabia zao zinakuwa zakikekike ivi, ila wewe uko vizuri muntuaMh! Hilo nalo neno. Inabidi tu wengine tufunge PM kana kwamba hatuzitaki kumbe hatuzipati hata pale tunapozihitaji.
Lakini unawezakunisabahi tu. Sie wa IQ ndogo si tutahama JF?
Sawaaaa sasa hapo nikituma email itafikaa kwa mme wangu Mshana
Tuanzie hapa kwanza maana sijaelewaa bado.
Ila wewe si unashinda siasani?Kumbe ndio hujawahi kujibu PM yangu.
Daaaahhhh, mtaani vyuma, JF PM hujibiwi, kazini Boss hovyo, Mama Chanja kashitaki kwa DAB.
Sina pa kwenda labda segerea[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kweli kabisaaa kun jembaaa moja alinipa namba za Uk kumbe lipo.Mwanza siku naperuzi facebook nakutana na picha zakeee nikalifungia vioooooIla sisi wanaume kwa kupretend tunaweza sana,,naweza kukuigizia maisha ya ki uk uk unaamini mpka uje kushtuka ni too late......ila haya maigizo yanahitaji pesa za kutosha pia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngoja niwahi kwa ras simba,sijui anajua hii lughaAaah sasa pso wakileta ngele. Nkimanile sana kyakikunde wikiuga numulelwe kwilyamba.
PM ni ndishe kusilye ingo, ungelile mpana ne?
Si unajua tunapenda macare sisi?
Yaani ukiweka zile swaga za MOTP ama Godfather aaah utakuja na nyuzi za kulalamika mod watoe pm yako.
Ngoja niwahi kwa ras simba,sijui anajua hii lugha
MmmhhhIla wewe si unashinda siasani?
Ngoja nianze kufukua makaburi yako,naweza nasa kwenye haka ka mtego ka paul makonda[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mwenyekiti wako anakupoteza.Yale majukwaa ambayo mnayakandia. Yasiyo wavutia warembo kuja kwa paul makonda! Acha tu tuwe wagumu! [emoji23][emoji23]
Hao ambao hawana comments wala uzi toka 2008
Hao ni wapenzi wasomaji ama wako na id nyingine ya kushiriki mijadala humuWa biko hawana siled wala comment ila ni wahengaaaa wapo mpaka jukwaa la wakubwaaa