Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Sasa hatufahamiani hizo speed unaenda wapi? Kitu gani unakihitaji kwa kasi hiyo hata jasho halijakauka umeshatuma hadi whatsapp, nikikujibu kitakachofuata si kuomba picha?
Afadhali nimekumbuka kuna mwingine akikusalimia tu ukimjibu anaombaaa picha akiiiii
Nafunga kiooo hapo hapo
 
Kweli kabisaaa kun jembaaa moja alinipa namba za Uk kumbe lipo.Mwanza siku naperuzi facebook nakutana na picha zakeee nikalifungia viooooo
Nikasema kimoyoni kwendraaaaaa shetani wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]why
 
Kweli nyie watu kiboko. Nilifikiria kwenye huu uzi ntaambulia hata PM moja tu, ina maana nakamilisha mwaka sasa bila bila, mara ya mwisho yenyewe ilikua ya kupigwa mkwara nijirekebishe nisije kupigwa BAN.
Tatizo wewe ni mpinzani wangu,naanzaje kuku pm sasa?
Hamina team yangu basi nikuje pm
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kweli hata mm tabia hiyo nimepitiaaaaaaaaa
Mhhh!! kwa hiyo Demiss na nyie wadada huwa mnatuma PM? Sasa usiende kufukua makaburi mimi sina uzi wowote nilioanzisha toka nijiunge [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Cheers!!

 
Ewaaaaah shemej asante sana kwa hilooo

Hata mm sikuwa na ubavu wa kumfungia viooo my husband Jr
Unaanzaje kumfungia vioo mtu anayeandika vitu sensitive kwa ustawi wa nchi na familia yake kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom