Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Tupoo
Kwanza wewe washiriki majukwaa gani kwanza tuanzie hapo,naweza fikiria kuja kwa paul makonda[emoji38][emoji38][emoji38]

Yale majukwaa ambayo mnayakandia. Yasiyo wavutia warembo kuja kwa paul makonda! Acha tu tuwe wagumu! [emoji23][emoji23]
 
Tuweke masikhara pembeni. Unanipa ushauri gani au nibadilishe vipi fomesheni ili na mimi nianze kula matunda ya kupata PM? Kuwa muwazi utoe maoni yako bila upendeleo..chukulia kesi yangu kama hadidu rejea.
Si unajua tunapenda macare sisi?
Yaani ukiweka zile swaga za MOTP ama Godfather aaah utakuja na nyuzi za kulalamika mod watoe pm yako.
 
Back
Top Bottom