The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Kweli kabisa
Mtuhurumie tu..PM zinafariji sana muntua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa
Hao ambao hawana comments wala uzi toka 2008Unawaogopa kina nani
Nimecheka sana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kufukua makabur hakujawahi kumuacha mtu salamaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa dada unawajuaje hao watu jamaniHao ambao hawana comments wala uzi toka 2008
Hahahamm kundi langu silijui lkn bado hunijibu PM!![emoji20][emoji20][emoji19][emoji19]
Mbona unatudharau sasa ss mafundi ujenzi we Demiss![emoji20][emoji20][emoji20][emoji19][emoji19][emoji19][emoji34][emoji34][emoji34]
Fani inatuweka mjini...
HahahaNdo maana nikasema walikuwa wananipa wakat mgumu sana nilijaribu kucheza biko nikakutana na mmoja akiiiii sikuamini macho yanguuuu
HahahaSalamu haina shidaa kuna mwingine anakuja na salam ya hivi
"mrembo demiss nakumind kiselaaa"
Akuuu mm sitakiii
We si mgumu?Imeshakula kwetu! [emoji124][emoji124][emoji124]
Hahhahah wa biko ndio wapojeHahaha
Mie na biko hapana, bora wa chit chat mara buku
Dadake naona ushatoka kifungoniMie huwaogopa kiukweli, sitaki kabisaaa!
Hahaha
Naanzaje kukuchunia jamanii
Yaani wewe[emoji23][emoji23][emoji23]