Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,804
- 10,715
😀😀😀 Dah! Vigezo na masharti kuzingatiwaNa wewe chukua kabur lakooo hili hapa ukiacha kupenda hivi utapata pm
Umbo lipi linavutia kwa kumtizama kati ya mwenye hips kubwa au tako kubwa!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀 Dah! Vigezo na masharti kuzingatiwaNa wewe chukua kabur lakooo hili hapa ukiacha kupenda hivi utapata pm
Umbo lipi linavutia kwa kumtizama kati ya mwenye hips kubwa au tako kubwa!!!
Nasema.....Mbona nishajibu
Sema nikutafsirieee shooo
HahahaahaaaHapo sasa ndio shida ilipo, yaani mgumu afake? Wewe ukuje tu posta mpya bana, hiyo habari ya majukwaa ni mbwembwe tu! [emoji1][emoji1]
Sanaaa, Wanaudhi sana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]yani giah wanaokuja nayo inakeraaa ndo maana wanafungiwa viooo
hahahaShemeji acha porojo pm yakoo imejaaaa
Sasa hapo ndo namlia bati kama sijaona vileSms zinakuwa hivi
1:05
Mambo valentine
2:40
Habari yako mrembo
4:00
Mbona kimyaaa mamy
6:9
Nijibu basi nina shida na wewe
8:09
Nitext whastap +45456888
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Nasema.....
Ngoja niweke sikirini shuti hapa nikuumbue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona huu uzi umeanza kigeuka wa kufukua makaburi?
Haya shemejiCheka tu yajayo yanafurahishaaaa
Una kabur zur [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Mhhh!! kwa hiyo Demiss na nyie wadada huwa mnatuma PM? Sasa usiende kufukua makaburi mimi sina uzi wowote nilioanzisha toka nijiunge [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cheers!!
Mbona nimekuta walinzi wananiuliza kitambulisho cha uraia??[emoji23][emoji23]Nakusubiria ujue.
Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume wa Jf kwamba hawapati PM kutoka kwa warembo wa Jf.
Mfano Zero IQ na Da 'Vinci na wengine wengi wakilalamika kufungiwa vioo.
Sasa niwaambie siri wanaume ambayo hamjui.
Yani ukimtumia tu mwanamke PM hakujibu mpaka aende kuangalia unashiriki ktk majukwaa gani?
Thread zako ni za aina gani?
Comment zako anafukua fukua makaburi kwanza?
Akishapata jibu ndio anarud PM kukujibu.
Hawa ndo wanaume wanaojibiwa haraka PM zao
Wale waliopo Great thinkers
-Jukwaa la siasa
-Jamii inteligance
-Habari na Hoja mchanganyiko
-Jukwaa la magari(No 1)
-Jukwaa la Madaktari
-Biashara na ujasiriamali
-Kilimo na mifugo
-Biashara na matangazo
Kifupi kwenye yale majukwaa magumu magumu.
Hawa wafuatao huwa wanafungiwa sana vioo PM kutokana na kushiriki kwenye haya majukwaaa.
-Chitchat
-MMU
-Celebrity[emoji16][emoji16][emoji16]
Hata mimi Demiss nilikuwa na hiyo tabiaa kabla sijaolewaa ukinitumia PM sikujibu mpaka nikafukue makaburi yako ya threads na comment zakoo nioneee .
Kile unachoandika ndiyo kipo kwenye akili yakooo .
Siwez kumjibu mwanaume anayeandika comment anaweka emoj[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] lazima nikukaushiee tu.
Kundi la mwisho hawa wanaume walinipa wakati mgumu sana mtu yupo Jf toka mwaka 2014 lakini hajawahi kuanzisha uzi kucomment wala kulike ila anakuja PM na yupo online masaa yoteeee.
Hahahaaaa. Mkuu kwema?Kumbe ndi mana eeeh?
Ngoja nibadili mbinu sasa!