Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Mbona nimekuta walinzi wananiuliza kitambulisho cha uraia??[emoji23][emoji23]

Unatoka Kigoma kwani? Nimeshatoa taarifa za ujio wako. Itifaki na taratibu zote zimefanyika rafiki. Tuna kiu mno ya PM. Hatuwezifanya kosa la kupoteza hii fursa adimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…