Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unashinda jukwaa gani.?Hahahaaaa. Mkuu kwema?
[emoji23][emoji23][emoji23]Yaaah yawezekana Avatar inasadifu yaliyomoooo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125]
Hivi huo uzi wa kubeti ndio ule wenye title "wazee wa kuweka mzigo haya njooni tubashiri mechi za leo au"? Kama ndio huo huwa naupita kama siuoni.
Sawa gwa gyule, kumbe unaishi ungujaKukufahamu uzuri inamaanisha kukuelewa. Yaani kiswahili cha unguja ati. Ukiambiwa sijakufaham inamaana sijakuelewa.
Hizi enzi za wasiojulikana lazima kuwa makini.
Mbona nimekuta walinzi wananiuliza kitambulisho cha uraia??[emoji23][emoji23]
Hahahaha demiss mimi ni ke jamaniNa wewe chukua kabur lakooo hili hapa ukiacha kupenda hivi utapata pm
Umbo lipi linavutia kwa kumtizama kati ya mwenye hips kubwa au tako kubwa!!!
Sawa gwa gyule, kumbe unaishi unguja
Ndo huo huoHivi huo uzi wa kubeti ndio ule wenye title "wazee wa kuweka mzigo haya njooni tubashiri mechi za leo au"? Kama ndio huo huwa naupita kama siuoni.
Kule kule kwa jana. Shemeji usijifanye una sahauHivi unashinda jukwaa gani.?
Habari yako shem
Kitu kikanasaaa hapo hapoNdo ushangaeee wala sikuzungusha
Pale pale nikaanza na kudekaaa oooh My everthing Mshana
Aiseeee mm sitak kabisa ujingaaaa kujib pm mpaka nifukue kabur
Natokea mtwara,hamchelewi kusema sina uraia nyinyiUnatoka Kigoma kwani? Nimeshatoa taarifa za ujio wako. Itifaki na taratibu zote zimefanyika rafiki. Tuna kiu mno ya PM. Hatuwezifanya kosa la kupoteza hii fursa adimu.
HahahahaHahahaha demiss mimi ni ke jamani
[emoji23] [emoji23] sasa si ndio wenye wadhfaaBora siasa alafu kuna chama nikiona unasurport sikutak kabisaaa
Kumbee na wewe umeon eeeh kufungiwa kiooo huyo lazima hana mbinu za kunitekaaa kuna watu wanavumilia pm mwakaa mzimaa anakusalimia hana shoboo mpaka unajishtukia mwenyeweYaani pm ya kwanza anakusalimia
Ya pili naomba namba
Ya tatu naomba picha,jamaniii