[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Niliedit uzi wa mtu wakanipa Ban toka Mwezi wa 2 nimemiss sana akaunti yangu yenye magari ila ndo hvyo sina uwezo wa kuipata kwa sasa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]maneno mengine magumu nashindwa mpaka kuelewaaa ahhahahah itabid nirud tena home sweet home akiiii
Deal done[emoji1] [emoji1] [emoji1] !!!!Usisahau kuleta mrejeshooo
kweli aiseeePoleeee sana kungekuwa na option ya kufutaa ungefuta fastaaa baada ya huuu uziii