Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Teh yani nahama hata hiyo thread ati
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kweli kabisaa mambo mengine majaribu
 
Niliedit uzi wa mtu wakanipa Ban toka Mwezi wa 2 nimemiss sana akaunti yangu yenye magari ila ndo hvyo sina uwezo wa kuipata kwa sasa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]maneno mengine magumu nashindwa mpaka kuelewaaa ahhahahah itabid nirud tena home sweet home akiiii

Usichezee ukame wa PM, mineno mingine inakuja tu hata sijui inakotokea. Kaa mbali na member asyepata PM
 
Nani anajua Wanapouza kioo cha BMW X6 gari yangu jana imepasuka kioo cha mbele wakati nampa farasi dawa.

Pia kama kuna mtu yeyote anaweza kupata kwa muda gari la kukodisha lisizidi Mil 15 kwa mwezi ani PM tuongee biashara.

(kioo cha mbele)

Asante
 
Hahahaha nimekutumia pm nenda kwanza halafu uje hilo jina ni zuri lkn mh hapana hili hili acha niwachanganye kwanza
Sawaa mamy nitakuja pm ngoja nimalizie majukumu hapa ya kujip comment
 
Hahaha mmeanza baada ya kujisema mimi ni ke nimebadilika mimi ni me
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom