Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kabisaaaa unaweza kuzan mtu yupo UK kumbe mwananyamala kwa koma koma siku ukikutana nayee katoka UK unatokaaa nduki unamuacha hapo kasimama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huwa nafurahi nikikuta notifications kadhaa kwenye profile yangu huku nyingi zikiwa Likes zako kwenye posts zangu.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mzee baba mwanaume kuwa na hizi emoji ndio tatizo kwa Ke
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]mme wanguuu
 
Sms zinakuwa hivi

1:05
Mambo valentine

2:40
Habari yako mrembo

4:00
Mbona kimyaaa mamy

6:9
Nijibu basi nina shida na wewe

8:09
Nitext whastap +45456888

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…