Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

PM kirefu chake Pombe Magufuli

Tuanzie hapa kwanzaaa
Balimi extra laga[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]kiboko yake nondo [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]kiboko yake MangiKima[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] kiboko yake cha nafuu [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]kiboko yake suria cheupe [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125].... Kiboko yake matembele.... Si unajua ni matamu sana[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]acha kabisaa mwanamke aangalie bongo movie na wewe

Pendelea zile movie ngumu ngumu kama vile
Rambo

Mambo ya mieleka

Agent 47 hitman

Mambo ya mipiraaa
Uko kotee Niko


Ilaa kama shida ni kuangalia siri za familia ntakimbia uko kabsaa
 
Watu hawaishiwi vituko. Leo mnajigamba kuwa mnafuatwa pm mara ooh pm ndo kuna mambo. Baada ya miezi Tisa tu mshajipanga ilala boma.
Point yangu ni kwamba sion sababu ya mtu kuja na thread za kujigamba mara anafata watoto wazur pm au anafatwa sana pm.
Ayo mambo malizanen hko hko, umejibiwa hujajibiwa piga kimya.
 
Nakupenda mme wangu tafasali tafasali usijee ukajitekaaaa nitalia sanaaaaa pasipo kupata mtu wa kunibembelezaaa
 
Uko kotee Niko


Ilaa kama shida ni kuangalia siri za familia ntakimbia uko kabsaa
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Hongeraa wewe wenzio kazi kutongoza tu
Kwanza naogopa watu wasiojulikana though Kuna watu huwa napenda angalia comment zao inaonyesha wanajuana mpaka nashangaa kuwa username ni fake wanajuanaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…