Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Kasema kapo zinazotamba humu zimekutana majukwa haya haya [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio nikataka azitaje kapo hizo
Ndo hapo sasa hajaelewa kwanza siled yangu inamaanisha nn kakimbilia tu kucomment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…