Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Mweeeh
Nipo hapa nawasubiri wanaume mkuje jamani

Kwahiyo unataka kusema wanaume wanaoshinda chit chat na mmu hawafai [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mama Yeyoo hivi hii PM ndio kitu gani?
 
Hahahaaaa et kwenye jukwaa la magar kwenye hilo jukwaa rrondo nahis huwa anapata pm za kufa mtu

Mbona mimi huwa nazungukia mmu na chitchat lakin napata pm hadi nataka kuifunga pm yangu
 
Bahati mbaya huko PM sipajui kabisaaa! Na siwezagi kutongoza mtadaoni na hata nikitongozwa huwa sijibu ila kuna vibinti vibishiiiii! Kanaona hukajibu bado kanakomaaa! Kutuma sms
Kwa sababu upo majukwaaa magumuuu alafu wanokomaaa wengine ni Mashemale [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Humu kwanza mm najuaga wote wanaume tu nikiingia nasoma nasepa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora usepee tu unaweza kutana na Jike dumeeeee
 
Hao kundi la mwisho sasa ndo wanakata stim...
Hilo kundi la nne aiseee kuna watumishi
Waheshimiwa

Maboss yani watu wanene acha kabisaaa siri yangu na ngoja niache iwee siri maana nimeshakuwa mke wa mtu ya zaman hayana umuhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…