Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mweeeh
Nipo hapa nawasubiri wanaume mkuje jamani
Kwahiyo unataka kusema wanaume wanaoshinda chit chat na mmu hawafai [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa KLM mwenyeweFanya kuni PM basi rafiki
Kwa sababu upo majukwaaa magumuuu alafu wanokomaaa wengine ni Mashemale [emoji16][emoji16][emoji16]Bahati mbaya huko PM sipajui kabisaaa! Na siwezagi kutongoza mtadaoni na hata nikitongozwa huwa sijibu ila kuna vibinti vibishiiiii! Kanaona hukajibu bado kanakomaaa! Kutuma sms
Mimi kundi la mwisho nataka niku PM utanifungia vio?Hao kundi la mwisho sasa ndo wanakata stim...
Nakukazia kwakweliMimi kundi la mwisho nataka niku PM utanifungia vio?
Ngoja nipange mistari yangu vizuri utanasa tu.Nakukazia kwakweli
Ha haha utakaa sanaNgoja nipange mistari yangu vizuri utanasa tu.