Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Siwez kumjibu mwanaume anayeandika comment anaweka emoj lazima nikukaushiee tu.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ shem unazingua sasa, mwanaume gani anatumia emoj ya ajabu kama hiyo!
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]manina zakooooo umejua kunichekeshaaaa
[emoji848] [emoji848] [emoji848] Mkuu nilipata mtu pale Kariakoo na akaniagizia Beforward nashukuru nimefanya malipo leo asubuhi na Ijumaa au Jumamosi kitakuwa Bandarini.

Pongezi kwa wote mlionisaidia katika hili.
 
Stori ya kweli.

Ila huu Uzi umenifanya nikumbuke jinsi gani nilivyo mfanya Dada mmoja humu JF aweweseke humu JF.

Kulikuwa na uzi mmoja wanawake walikuwa wanaelezea nini wanakipenda kwa wanaume, mmoja kati ya wanawake humu (ana jina na pia anafahamika sana) akaelezea aina ya mwanaume anaempenda nikaona mbona sifa zote ninazo.

Basi ikawa kama utani nikaenda PM yake nikatumia Sms akajibu na baadae nikaanza kumchombeza taratibu, ilifika hatua hadi ya kuanza kujuana kwa picha tulipofika hapo nikatuma kombora langu kwenda kwa Kim Jong Un akadata na kupenda sana mwonekano wa kidume.

Tumeenda hadi tumekuwa zaidi ya marafiki (yule dada ni mtu wa kwanza namtumia Pm kwa kipindi chote cha miaka 3 ndani ya JF) anajua nini maana ya urafiki na amekuwa mtu wa karibu sana ambaye hata ananijua kwa sura humu JF.

Japo nina Akaunti mpya ila nadhani akisoma kwa makini atajua mimi nani.

Nakupenda sana Mdada ngoja nitoke kifungoni.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji848] [emoji848] [emoji848] Mkuu nilipata mtu pale Kariakoo na akaniagizia Beforward nashukuru nimefanya malipo leo asubuhi na Ijumaa au Jumamosi kitakuwa Bandarini.

Pongezi kwa wote mlionisaidia katika hili.
Aiseee umejua kunifurahisha sana kwa kwel[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Truly sensational [emoji8] [emoji7] [emoji39]
[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] My husband nitakumiss sana[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…