Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Ha haa ukitoka na ndinga uwe unanipa lift
Labda la mme wangu mm nina kispashoo ukitembea km 10 kinapata moto nasimama nakimwagia maji kinafukaaa moshi
 
Hahahahaha......wewe utakuwa umetumwa, what is so special? au ndio unaandaa mazingira ya kuja kushtakiana mambo ya kutelekeza familia/watoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…