Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Humu kwanza mm najuaga wote wanaume tu nikiingia nasoma nasepa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeandika kama utani vile, lakini kuna ukweli kwa kiasi kikubwa mkuu. Binafsi huwa sipendelei sana mambo ya pm.
 
Mweeeh
Nipo hapa nawasubiri wanaume mkuje jamani

Kwahiyo unataka kusema wanaume wanaoshinda chit chat na mmu hawafai [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu tupo tofauti sana. Mm ktk maisha yangu huwa naogopa sana kutongoza wanawake ovyo na kuwa na mazoea na watu. Tangia niingie JF sijawahi kutongoza mwanamke yyte na sifikirii kutongoza. Mm mitandao yote niliyojiunga huwa sifikiri wanawake. Na sign up JF nipate wanawake? Duh! Lbd siyo mm. Kuna baadhi nilishawahi kuchati nao pm lkn siyo kwa lengo la kutongoza bali ni urafiki wa kawaida na hawa wote niliwafuata mm. Ukimuona mwanaume anasubiria pm ya mwanamke huyo ana matatizo. "Kila kitu kinatafutwa''
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama kuna ambae hajacheka kwa huu uzi either alikuwa kwa makonda leo au alitumbuliwa cheti fake..
nimefurahi kukuona pia maa....

Ambao hatupati PM tunaanzaje kucheka?
 
Sijawahi kuto jibiwa PM...
Pia ninao wafuata PM wengi wame pevuka.
 
Naona mimi ni mmoja kati ya hao victims waliotajwa kuwa hawajibiwi PM
 
Wengine hatujulikani wala kuhangaika.
bora kujiweka low profile
Maana kuna wengi tuwepo tusiwepo hakuna anaejuwa
And that's the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…