Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Komaeni na PM zenu dada zake Munyambo wamejaa hapa nije nihangaike huko kwa watu wasiojulikana ili iweje?
Mwisho wa siku nitongoze guDUme nipate aibu.
 
Komaeni na PM zenu dada zake Munyambo wamejaa hapa nije nihangaike huko kwa watu wasiojulikana ili iweje?
Mwisho wa siku nitongoze guDUme nipate aibu.
Wewe umeoa Pm ya nn?
 
Ni uzwazwa kung'ang'ana kijibiwa PM kwa mtu uliyekutana naye kama ajali ...

Tuishi maisha ya kawaida na wanaume / wanawake tunaokutana nao huku mitandaoni tutambua kuwa ndio hawa hawa tupo nao huku mitaani..
 
Ngoja nikutafute PM!! Nione respond yako.
 
Mweeeh
Nipo hapa nawasubiri wanaume mkuje jamani

Kwahiyo unataka kusema wanaume wanaoshinda chit chat na mmu hawafai [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Njo pm plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…