Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
fanya asubuhi asubuhi kabla hujapata kifungua kinywaNitakutumia keshooo
Huwa nikisoma comments huwa zinatosha kwa kweli maana wengine hujui hata jinsia zaoPoleeee sana rafikiii
Hahaha shem wangu nimekumiss.Wewe umeoa Pm ya nn?
We ukuje tutayajenga hivo hivo[emoji6]Unataka tuje pm tuanze kuongea habari za lukaku ama pogba?we vipi[emoji23][emoji23]
Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume wa Jf kwamba hawapati PM kutoka kwa warembo wa Jf.
Mfano Zero IQ na Da 'Vinci na wengine wengi wakilalamika kufungiwa vioo.
Sasa niwaambie siri wanaume ambayo hamjui.
Yani ukimtumia tu mwanamke PM hakujibu mpaka aende kuangalia unashiriki ktk majukwaa gani?
Thread zako ni za aina gani?
Comment zako anafukua fukua makaburi kwanza?
Akishapata jibu ndio anarud PM kukujibu.
Hawa ndo wanaume wanaojibiwa haraka PM zao
Wale waliopo Great thinkers
-Jukwaa la siasa
-Jamii inteligance
-Habari na Hoja mchanganyiko
-Jukwaa la magari(No 1)
-Jukwaa la Madaktari
-Biashara na ujasiriamali
-Kilimo na mifugo
-Biashara na matangazo
Kifupi kwenye yale majukwaa magumu magumu.
Hawa wafuatao huwa wanafungiwa sana vioo PM kutokana na kushiriki kwenye haya majukwaaa.
-Chitchat
-MMU
-Celebrity[emoji16][emoji16][emoji16]
Hata mimi Demiss nilikuwa na hiyo tabiaa kabla sijaolewaa ukinitumia PM sikujibu mpaka nikafukue makaburi yako ya threads na comment zakoo nioneee .
Kile unachoandika ndiyo kipo kwenye akili yakooo .
Siwez kumjibu mwanaume anayeandika comment anaweka emoj[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] lazima nikukaushiee tu.
Kundi la mwisho hawa wanaume walinipa wakati mgumu sana mtu yupo Jf toka mwaka 2014 lakini hajawahi kuanzisha uzi kucomment wala kulike ila anakuja PM na yupo online masaa yoteeee.
Ngoja nikutafute PM!! Nione respond yako.Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume wa Jf kwamba hawapati PM kutoka kwa warembo wa Jf.
Mfano Zero IQ na Da 'Vinci na wengine wengi wakilalamika kufungiwa vioo.
Sasa niwaambie siri wanaume ambayo hamjui.
Yani ukimtumia tu mwanamke PM hakujibu mpaka aende kuangalia unashiriki ktk majukwaa gani?
Thread zako ni za aina gani?
Comment zako anafukua fukua makaburi kwanza?
Akishapata jibu ndio anarud PM kukujibu.
Hawa ndo wanaume wanaojibiwa haraka PM zao
Wale waliopo Great thinkers
-Jukwaa la siasa
-Jamii inteligance
-Habari na Hoja mchanganyiko
-Jukwaa la magari(No 1)
-Jukwaa la Madaktari
-Biashara na ujasiriamali
-Kilimo na mifugo
-Biashara na matangazo
Kifupi kwenye yale majukwaa magumu magumu.
Hawa wafuatao huwa wanafungiwa sana vioo PM kutokana na kushiriki kwenye haya majukwaaa.
-Chitchat
-MMU
-Celebrity[emoji16][emoji16][emoji16]
Hata mimi Demiss nilikuwa na hiyo tabiaa kabla sijaolewaa ukinitumia PM sikujibu mpaka nikafukue makaburi yako ya threads na comment zakoo nioneee .
Kile unachoandika ndiyo kipo kwenye akili yakooo .
Siwez kumjibu mwanaume anayeandika comment anaweka emoj[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] lazima nikukaushiee tu.
Kundi la mwisho hawa wanaume walinipa wakati mgumu sana mtu yupo Jf toka mwaka 2014 lakini hajawahi kuanzisha uzi kucomment wala kulike ila anakuja PM na yupo online masaa yoteeee.
Kwenda kuosha macho shem.Wewe umeoa Pm ya nn?
Unanisingizia ili nisifatwe pm.Wewe shem nakuaminiaa kwa kugegeda hujambooo
Njo pm plzMweeeh
Nipo hapa nawasubiri wanaume mkuje jamani
Kwahiyo unataka kusema wanaume wanaoshinda chit chat na mmu hawafai [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna nini unagawa mahela mpaka nikuje au nije tu pm kwako kushangaa mkuuNjo pm plz
Njo ushangae tu coz kuna kadada kamegoma kunijibuKuna nini unagawa mahela mpaka nikuje au nije tu pm kwako kushangaa mkuu