Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Huyo mama mwenye nyumba asije tuu akakuozesha binti yake.
Kwaiyo sasa ndio umetoka kazini unaingia kulala.
aaah binti yake cha wote hana inshu..
naomba niozeshwe wewe tu basi.. teh
nshazoea nalala kidogo ila leo saa 10 naenda kupiga disko toto la mchana na usiku kwa watu wazima pia.. kama kawaidaa
 
Kundi la mwsho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna kaukweli.
Lazima tufukue makaburi kwanza...na huwa tupo makini Sana.
 
aaah binti yake cha wote hana inshu..
naomba niozeshwe wewe tu basi.. teh
nshazoea nalala kidogo ila leo saa 10 naenda kupiga disko toto la mchana na usiku kwa watu wazima pia.. kama kawaidaa
Siku nyingine uwe unanialika nije huko huko nijirushe. Ila uwe unanitaja taja nipate umaarufu.
 
usijali ntakufundisha nawe uwe dj au hutaki?

hahaha lakin wewe si star hapa jf eti?
Nifundishe niwe DJ wa kike.
Uwe unanitaja taja huko unapopiga mzikii.[emoji28][emoji28][emoji28]niwe maarufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…