Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

PM kujibiwa utasema unaomba kazi ya ukurugenzi? Utafanyiwa uhakiki wa vyeti, uraia, majukwaa, spelling error, lafudhi n.k msione wanaume wanalalamika.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kweli hata mm tabia hiyo nimepitiaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…