Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

[emoji16][emoji16][emoji106][emoji106][emoji106]ila siku unakutana naye mwambie akukute airport uende na mabegi kama umetoka UK

Shida zote za nn why?

Mtaka cha uvunguni bana! Halafu na nyinyi bila mbinu saa ingine hamkamatiki! [emoji1][emoji1]
 
Mweeeh
Nipo hapa nawasubiri wanaume mkuje jamani

Kwahiyo unataka kusema wanaume wanaoshinda chit chat na mmu hawafai [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja niwahi offer
 
Hahahaha dah ndo na pm sipati sasa maana me wanahisi dume lenzao ke nao mnahisi hili dume wacha nipambane na ID yangu
Watumiee mods wakubadilishie shoo kutongozwa pm kuna raha yake unakutana na vituko mbwembweee mapopomaa na kila aina ya uzwazwaaa
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mi nipo karibia majukwaa yote haya lakini Pm yangu imekahukiwa kiukweli ina ukame kinomaaaaaa.
Jina lakooo hilo ndo tatizooo badili haraka utaendelea kuwa na ukameee hivyo hivyooo
 
Back
Top Bottom