1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Nawe hueleweki! Hivi mtu anatafuta k lazima awe anamjua mwenzake? Si unajua wanaume ni risk takerHivi utamfataje pm mtu usiemjua kwa sura wala jina?
HahahaHuo ndio uanaume
Sijambo mm jamani za wewe mshipa wake mtuMarhaba. Hujambo mrembo?
Ongea polepole wasisikie, wasije wakanikataa wadada wa humu...😩😩😩Ndio nimeamua kuja kukutaja ukomeeeeee
Pole jamani yule mdada mpaka jf kakimbia au karudi na I'd mpyaNimekoma mimi
sanaKwa ile nyingine tena mkuu..
Mm nawaogopa hawa wanawake kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Young nimecheka mieMkuu wewe acha tu huko PM sio kuzuri hata mabibi pepsi pia wamo
Ndio nawasema muache tabia za kipugiUnatusema ati
Hata akiniita kwa majina ya rangi zote, lakini mibado nampenda tuHahaaha umeitwa pugi
Zitakuwa hazijakufikia bwana pepsi anazisambaza badoNipo mzima, siku wakisambaza picha zako, naomba unitag
hahahaha kadada flan kadhur kana upendo ajabu koment zake zakitakifu kakikoment comment yangu au kakilike na screenshot nakapenda jaman we chunguza koment zangu utakajua ... Jf kisiwa cha majababi usikute mshana ndo beira baby boyNani huyo...?