Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Mkuu wewe acha tu huko PM sio kuzuri hata mabibi pepsi pia wamoYamekukuta yapi mkuu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wewe acha tu huko PM sio kuzuri hata mabibi pepsi pia wamoYamekukuta yapi mkuu..
Unatusema atiSijampatia picha nipo nae WhatsApp anaiba kwa dp tunaheshimiana sana lakini ana akili za kipugi jitu zima
Pepsi mm sielewi ni nini?Mkuu wewe acha tu huko PM sio kuzuri hata mabibi pepsi pia wamo
Nipo mm mzima wewe
Ukiona manyoya[emoji13][emoji14]Hapo kwenye kuwajua watu hapo yaani hapo hapo yamenikuta mm mtu unakutana nae jukwaani anakwambia shunie nakujua ww khee umenijuaje kumbe kuna pugi anasambaza picha zangu
We kaka endelea tu kusambaza picha zangu sawa eenh hivi unalipwa kwa mfano ukisambaza picha za mtu haya unanisambazia picha zangu ndio kwanza wananisifia hawanipondi kama ulitaka waniponde imekula kwako na uendelee vizuri kusambaza picha zangu mfyuuuuuu zako
Nitarudi
Nani huyo...?Ila kuna mmoja ntamwaaproach ngoja na hawez kuchomoka
hapa ndiyo sehemu ya kusema ukweli pm umefunga hakuna sehemu nyingine zaidi 😛 😛 uje pm kunipa hizo shkamoooSema kweli jamani
Yakikukuta ndio utakapojua maana yakePepsi mm sielewi ni nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jina jipya jf we Dada sikuwezi kutoka pugi mpk bwana PepsiMm anajulikana mbona huyo rayna anamjua yaaan bwana Pepsi anajulikana na tabia zake
Ili unichoreshe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Karibu kwa kibabu mie, sinaga makuu kwa watoto wazuri kama wewe....😩😩😩😩Nakuja safari hii natum picha za wakorea
Sina story na wadada mm naidhia kuwakoti tu humu jukwaani. Pm sioni cha kwenda kuongea nao. Labda wanaume wenzangu wafanye hivo but wengi they treat me like their youngbrotherYakikukuta ndio utakapojua maana yake
hebu nije kuhakikisha kwanzaAah!wapi iii