Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Hapo kwenye kuwajua watu hapo yaani hapo hapo yamenikuta mm mtu unakutana nae jukwaani anakwambia shunie nakujua ww khee umenijuaje kumbe kuna pugi anasambaza picha zangu

We kaka endelea tu kusambaza picha zangu sawa eenh hivi unalipwa kwa mfano ukisambaza picha za mtu haya unanisambazia picha zangu ndio kwanza wananisifia hawanipondi kama ulitaka waniponde imekula kwako na uendelee vizuri kusambaza picha zangu mfyuuuuuu zako

Nitarudi
Pole
 
Sasa kama kila mtu kafunga pm na hajibu pm,hawa mabazazi watatafuna mahindi mwaka huu?
Tuwahurumie basi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] etiiu
 
Shunie kuna mijitu mishamba kweli kweli mitindiga sijui ya wapi asa akionekana anawajua watu inasaidia nini kwa mfano,ushamba wa kiwango cha lami
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani amu acha tu
 
Kwani wa mitandaoni wana tofauti gani na wahuko mtaani kwenu!

Binadamu ndo wale wale wa humu na nje ya humu sema inategemea unatuma picha na sio wote wanatuma picha wengine wanakuja whasaap wanatoa picha yako!

Halafu kingine yaani humu jf ni zaidi ya uijuavyoo kaka!
Sasa nilikuwa na mpango wa kuja PM kwako. Kwahyo ndio ushaifunga?
 
nyie muwe mnaringa hivyo hivyo, itafika kipindi hata mambo hupewi, husalimiwi utajiona umekuwa muhenga nn? na wanaume nao Kuanzia mtaani hadi huku PM ziko Off ........ tumia chuma kikiwa still kiko Hot


kwanza hii kufunga PM ndo Tanzania pekee tunayo inatoa maana ya social forum, nambie mtandao upi una hii huduma
 
Back
Top Bottom