Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Amu acha tu ni ushamba uliopitiliza yaan atajifanya kuja kiheshima akuzoee ili akuone unafananaje aanza kuonyesha picha zako na anaowanyesha nao hawana siri masikini
Shunie kuna mijitu mishamba kweli kweli mitindiga sijui ya wapi asa akionekana anawajua watu inasaidia nini kwa mfano,ushamba wa kiwango cha lami
 
Hapo kwenye kuwajua watu hapo yaani hapo hapo yamenikuta mm mtu unakutana nae jukwaani anakwambia shunie nakujua ww khee umenijuaje kumbe kuna pugi anasambaza picha zangu

We kaka endelea tu kusambaza picha zangu sawa eenh hivi unalipwa kwa mfano ukisambaza picha za mtu haya unanisambazia picha zangu ndio kwanza wananisifia hawanipondi kama ulitaka waniponde imekula kwako na uendelee vizuri kusambaza picha zangu mfyuuuuuu zako

Nitarudi
Aisee pole sana
 
Acha tu mama mwenyewe unajiongelesha kwenye thread unajidanganya mm kipotabo mtu anakuquote we shunia acha uongo nakujua mm mbona ww kibonge cheusi unajiuliza kanijuaje mwisho wa siku kumbe ana ukaribu na bwana pepsi picha alionyeshwa na bwana pepsi

Usikubali kukutwa na bwana pepsi kabisa
Ha Ha Ha ha eti bwana Pepsi pole sana mkuu

Cha muhimu ni kuwa makini tu na wale unaowasiliana nao maana hatufanani tabia
 
Naikumbuka hvi alikua shunie au Ray?
.. Hawajawah chat na mm na sijawah washobokea wanawake wa jf
Screenshot_20180803-145701.jpg
 
Back
Top Bottom