Nakuja safari hii natum picha za wakoreaMkuu, pole kwa yalio kukuta.....
Ebu ukuje huku MP kwangu, hauto juta wallah...[emoji1][emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuja safari hii natum picha za wakoreaMkuu, pole kwa yalio kukuta.....
Ebu ukuje huku MP kwangu, hauto juta wallah...[emoji1][emoji1]
Nitupiemo kwa pm..Mm anajulikana mbona huyo rayna anamjua yaaan bwana Pepsi anajulikana na tabia zake
Ha Ha Ha ha eti bwana Pepsi pole sana mkuu
Cha muhimu ni kuwa makini tu na wale unaowasiliana nao maana hatufanani tabia
ndio zinasehemu maalum kama pm vile sawaHao mods wamenifanya mpaka nimezizoea kumbe hizi shikamoo zina sehem na sehem eenh
mkuu nahisi umeshajibiwa......?ngoja nikuPM nione kama kweli hujibu
.. Hawajawah chat na mm na sijawah washobokea wanawake wa jf View attachment 825932
Amu acha tu ni ushamba uliopitiliza yaan atajifanya kuja kiheshima akuzoee ili akuone unafananaje aanza kuonyesha picha zako na anaowanyesha nao hawana siri masikini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa ile id yako nyingine.... Hawajawah chat na mm na sijawah washobokea wanawake wa jf View attachment 825932
Bwana Pepsi anafurahisha watuu[emoji19] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]bwana Pepsi ahsante
Kwahiyo ndio umeamua kuja kunitaja huku eeehhhhhh.......[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]Sijampatia picha nipo nae WhatsApp anaiba kwa dp tunaheshimiana sana lakini ana akili za kipugi jitu zima
SawaNitupiemo kwa pm..
Nayajua majanga yakoHumu JF kuna watu wana akili mbaya balaa,mimi pia yamenikuta yakunikuta ndungu zangu
Mzee nanii?Bora pic yangu. Alisambaza za mzee
ndio zinasehemu maalum kama pm vile sawa
Hapana siwez mtaja hapa.Ahsante Mimi sijui nashukuru najihadhari sana tena mnooo
Mdada yupi huyoo
Aisee upo bibie