Ngoja tuweke picha yako ukinyonyeshaNdio nawasema muache tabia za kipugi
Zitakuwa hazijakufikia bwana pepsi anazisambaza bado
Mkuu, Jf kwasisi tunao ifahamu nje/ndani.... Haijawahi kutupa homa hata skumoja...😩😩😩[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ushamjua eeh
Shunie umependwa hukuHata akiniita kwa majina ya rangi zote, lakini mibado nampenda tu
wakitaa ndo nyinyi tu,[emoji23] [emoji23] tafuta kitaa
Pm ipo wazi jamanihapa ndiyo sehemu ya kusema ukweli pm umefunga hakuna sehemu nyingine zaidi [emoji14] [emoji14] uje pm kunipa hizo shkamooo
Asante miss tzSafi sana kakaa!
Huyu ni bwana pepsi mapugi tabia zao zinajulikana[emoji23] [emoji23] [emoji23] jina jipya jf we Dada sikuwezi kutoka pugi mpk bwana Pepsi
Thubutuu kukutwa na bwana Pepsi achaaa!!atawafurahishaa!nyote hata iweje!!
Zitakuwa hazijakufikia bwana pepsi anazisambaza bado
Mbona hunijibu mkuu .. Nmekutumia pm vochaPm ipo wazi jamani
Hahahaha mtu anakuongelea anamalizia na kuonyesha picha zakoMabwana Pepsi bwana acha tu wakukutaa subiri ujionee kwenye kifuatacho ITV ....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nawe hueleweki! Hivi mtu anatafuta k lazima awe anamjua mwenzake? Si unajua wanaume ni risk taker
Wanaume wa humu ni wanafiki! Sote tunatafuta K lakini wenzetu wanajifanya malaika! Unajaribu huyu akikataa yule hadi k unaipata na kuigida kiroho mbaya au siyo Shunie[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na kusoma lazima asomeAkisoma hapa abadilikee!!!
NimekuPM jibu tafadhali.Eeeh Mungu nisaidie nisi comment kwenye huu uzi .
Ila ngoja kwanza .
Mimi nikiona mtu kani pm siku hizi nakemea kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we Dada!!!looh!Cha ajabu kila mtu atalaani hiyo tabia lakini na yeye ni mtumaji mzuri wa picha.
Tena anatoa PM anapeleka wassaaap
Achana na picha zile za kujibu mapigo.
Kuna watu wana album za watu.
Naomba picha ya mtu basi nisuuze macho