Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

[emoji23] [emoji23] [emoji23] jina jipya jf we Dada sikuwezi kutoka pugi mpk bwana Pepsi

Thubutuu kukutwa na bwana Pepsi achaaa!!atawafurahishaa!nyote hata iweje!!
Huyu ni bwana pepsi mapugi tabia zao zinajulikana
 
Nawe hueleweki! Hivi mtu anatafuta k lazima awe anamjua mwenzake? Si unajua wanaume ni risk taker
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cha ajabu kila mtu atalaani hiyo tabia lakini na yeye ni mtumaji mzuri wa picha.
Tena anatoa PM anapeleka wassaaap
Achana na picha zile za kujibu mapigo.
Kuna watu wana album za watu.
Naomba picha ya mtu basi nisuuze macho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we Dada!!!looh!
 
Back
Top Bottom