Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Haaaa..binamu bwanaa!hao wengine wapite Vivi
 
Ndiyo maana navumilia.
Kuna watu walikutana kwenye group moja wakapost picha zangu 3 tofauti. Yaani watu wa 3 tofauti.
Basi mtu anayenijua mle akanitumia nilicheka sana.
Duh![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] hatari hii watu wabaya ili iweje sasa!!
 
Falacy of generalization
Hayo yoteculoyasema ni kwa upande wako. Kwa hiyo usidhani sababu zinazokufanya ww ufunge pm yako ndo hizo hizo zinazowafanya wengine wafunge pm zao.
Mimi sijafunga pm na wala sitafunga inshort sio Mimi niliyefanyiwa hayo Mimi nnaemjua anajitambua mnoo hana shida na ananielewaa sana tu!

Wapuuzi km hao hawana nafasi!!hata kidogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…