Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakusalimu mdogo angu ray[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari
Haaaa..binamu bwanaa!hao wengine wapite ViviBora nimeifunga tu maana vimtu vingine vinakuja ni vitoto,wengine kama hivyo mnaanza kuwasiliana baadae unajua ni mapugi ,wengine utani wanaugeuza ukweli lo, hao wanasambaza pic wala msiwajali kwani mmeua ,jf siogopi mtu yeyote najiamini nilivyo anaeona mi wa ajabu yupo anaeniona wa maana na ni mzuri kwake , maana kuna watu wabaya kuzidi hata mimi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kingine nishapata mpenzi anaenipenda nampenda wala sihitaji pm
Duh![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] hatari hii watu wabaya ili iweje sasa!!Ndiyo maana navumilia.
Kuna watu walikutana kwenye group moja wakapost picha zangu 3 tofauti. Yaani watu wa 3 tofauti.
Basi mtu anayenijua mle akanitumia nilicheka sana.
Hahahahahahaha wewe Chige hawa watoto unawapa nini aiseee....naona ushanishinda maili 100.Hahahaaa!!! Ahsante dada Shunie basi siku nikija PM usinisemelezee hapa JF manake nimemwambia Malcom Lumumba kwamba mimi na yeye tupo sawa tu... according to Demiss, hatupendeki hapa JF!
Wambie wenzako sitak am a player[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hornet mambo, nimekumiss sana.....Sasa mbona zikija wanalalamika!
Niko nyuma ya wakati
Mimi sijafunga pm na wala sitafunga inshort sio Mimi niliyefanyiwa hayo Mimi nnaemjua anajitambua mnoo hana shida na ananielewaa sana tu!Falacy of generalization
Hayo yoteculoyasema ni kwa upande wako. Kwa hiyo usidhani sababu zinazokufanya ww ufunge pm yako ndo hizo hizo zinazowafanya wengine wafunge pm zao.