mwasipenjele
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 771
- 450
Sidhani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa nakuja pm andaa kabisa mashuka na mablanket ila mi ntalala chiniMimi sijafunga pm na wala sitafunga inshort sio Mimi niliyefanyiwa hayo Mimi nnaemjua anajitambua mnoo hana shida na ananielewaa sana tu!
Wapuuzi km hao hawana nafasi!!hata kidogo!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] promo mkuu chek pm yangu. Inatia huruma kuna mdada mmoja tu alntext enzi akaniuliza saa ngap sa hvi ?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji121] [emoji121] [emoji23] [emoji23] [emoji23] msiende pm jamani
Hivi kuna wadada wanaendaga pm wenyewe kujitongozesha
Ana hormone disorders basiMtu mzima kabisaaaa
Aahaha mi sipo hvyo mkuu mi na upendo sema sijawah bahatika kupenda wala kupendwa najipendaga mwenyewe bata kwa sana full malife no beby no wat no stress no waat ... Me na swalehe wangu tukichoka magem sana .. Muvi nyama choma ... Waat a life hakuna kujikamua kamua oooh bebii nifikishe kilelen[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ulale ili unisambazeee eti eeehh!!!
Ndio maana hukunijibu eh[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mtu mzima kabisaaaa
Umejifichia wapi aisee ????Mambo poa,
Nimekumiss pia Malcom Lumumba
Nipo kiongozi,awamu ya kujificha hii.Umejifichia wapi aisee ????
Basi usijifiche hivyo tena, tuwe tuntafutana aiseee.Nipo kiongozi,awamu ya kujificha hii.
Sawa usijali.Basi usijifiche hivyo tena, tuwe tuntafutana aiseee.
Unapotea mpakaaaa
Shunie punguza jazba
Hahahahahahaha nimeokokaaaUtakatifu umeanza lini mama