Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Mimi sijafunga pm na wala sitafunga inshort sio Mimi niliyefanyiwa hayo Mimi nnaemjua anajitambua mnoo hana shida na ananielewaa sana tu!

Wapuuzi km hao hawana nafasi!!hata kidogo!
Sawa nakuja pm andaa kabisa mashuka na mablanket ila mi ntalala chini
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji121] [emoji121] [emoji23] [emoji23] [emoji23] msiende pm jamani

Hivi kuna wadada wanaendaga pm wenyewe kujitongozesha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] promo mkuu chek pm yangu. Inatia huruma kuna mdada mmoja tu alntext enzi akaniuliza saa ngap sa hvi ?
Screenshot_20180803-145701.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ulale ili unisambazeee eti eeehh!!!
Aahaha mi sipo hvyo mkuu mi na upendo sema sijawah bahatika kupenda wala kupendwa najipendaga mwenyewe bata kwa sana full malife no beby no wat no stress no waat ... Me na swalehe wangu tukichoka magem sana .. Muvi nyama choma ... Waat a life hakuna kujikamua kamua oooh bebii nifikishe kilelen
Self love ... Maisha haya nayafurahia na mwanangu ...
Naomba mungu nife na furaha hivi hivi

Tena swalehe akileta wajukuu daah
 
Back
Top Bottom