Ndiyo binamu, kwani kuna tatizo?! Shunie ni binamu kwa shangazi na dadake baba na wewe ni binamu kwa kakake na mama!!!Kumbee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo binamu, kwani kuna tatizo?! Shunie ni binamu kwa shangazi na dadake baba na wewe ni binamu kwa kakake na mama!!!Kumbee
Afu amu nimeku-miss, hadi nikahisi ubongo unapiga rivasi!!ooo plz my name is amu siyo HAMU
Dadekiiii Chige wewe umeasi chama langu na kuanza kwenda kimya kimya,
Afu amu nimeku-miss, hadi nikahisi ubongo unapiga rivasi!!
ooo chige ahsanteAfu amu nimeku-miss, hadi nikahisi ubongo unapiga rivasi!!
Mi nakujua sana tu, sema najifanyisha tu kwamba sikujui!Sijawahi sumbuliwa pm na sitegemei, na hakuna anayenijua humu
Aaaah Chige huyu Hornet ni dogo langu bwana....Na mimi nianze fitina ?! Si unataka tutandikane fitina wenyewe kwa wenyewe!!! Eti Hornet, hivi... dah, basi bhana, asije jamaa aka-mind!
[emoji12] [emoji12] [emoji12] hakuna mwenye bahati hiyo humu, na siwezi pata maamuzi ya kujulikana jfMi nakujua sana tu, sema najifanyisha tu kwamba sikujui!
PM bwana kwasababu haya ni mambo ya nyumbani hayatakiwi tufaidishe watu aiseeLinajadiliwa hapa hapa[emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pm hapana naogopa
Ah! We Gyole wewe... mara hii umenisahau?! Mi nishasema, najifanyisha tu hapa JF lakini nakujua![emoji12] [emoji12] [emoji12] hakuna mwenye bahati hiyo humu, na siwezi pata maamuzi ya kujulikana jf
Sio rahisi mkuu, niko smart kwenye hiliAh! We Gyole wewe... mara hii umenisahau?! Mi nishasema, najifanyisha tu hapa JF lakini nakujua!
Tupinge!Sio rahisi mkuu, niko smart kwenye hili
aaaaaaa sasa wewe utapataje pm na hujaweka wezere kama langu!! ha ha ha ha ha nacheka kama mazuri juzi nlilitoa wezere nikaweka picha ingine nikapata pm nirudishe wezere eti linawapa hamu ya kusoma michango wakati in reaaly life nina bonge la flat Khadija Kopa akasome,kitu kingine nilichogundua ukifunguka kiduchu kuhusu sex tu ni shida,sasa ole wako ujichanganye ucoment hata topic ya mmu ipelekwe jukwaa la chini utakoma[emoji12] [emoji12] [emoji12] hakuna mwenye bahati hiyo humu, na siwezi pata maamuzi ya kujulikana jf
Sawa Sh.ngapiTupinge!
sante sana too!!!ooo chige ahsante
Kupinga kwa hela hakunogi bhana....Sawa Sh.ngapi
Duuuh hili sikulijua, nashukuru umenishtua vemaaaaaaaa sasa wewe utapataje pm na hujaweka wezere kama langu!! ha ha ha ha ha nacheka kama mazuri juzi nlilitoa wezere nikaweka picha ingine nikapata pm nirudishe wezere eti linawapa hamu ya kusoma michango wakati in reaaly life nina bonge la flat Khadija Kopa akasome,kitu kingine nilichogundua ukifunguka kiduchu kuhusu sex tu ni shida,sasa ole wako ujichanganye ucoment hata topic ya mmu ipelekwe jukwaa la chini utakoma
Yet you have spent your precious time reading it and typing a reply...Guess I'm too old 4 this pile of shit
karibuDuuuh hili sikulijua, nashukuru umenishtua vema