Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Oh Lord!! Ama kweli, kikulacho kinguoni mwako! Maneno haya kweli yatoka kwa Malcom! Eti Demiss, hivi hapo juu si ndo fitina zenyewe hizi?!

Sa' hapo tu Shunie kasema mimi ni kakake... je, angesema ukweli kwamba mi ni kakake binamu, fitina si ndo zingezidi maradufu!!!
Dadekiiii Chige wewe umeasi chama langu na kuanza kwenda kimya kimya,
Demiss kanipa taarifa zako bwana na nasema hivi kwakuwa wewe ni ndugu yangu basi tu naacha.
 
Na mimi nianze fitina ?! Si unataka tutandikane fitina wenyewe kwa wenyewe!!! Eti Hornet, hivi... dah, basi bhana, asije jamaa aka-mind!
Aaaah Chige huyu Hornet ni dogo langu bwana....
Baba moja mama moja, mimi ndiyo nimemwachia ziwa yeye...
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] hakuna mwenye bahati hiyo humu, na siwezi pata maamuzi ya kujulikana jf
Ah! We Gyole wewe... mara hii umenisahau?! Mi nishasema, najifanyisha tu hapa JF lakini nakujua!
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] hakuna mwenye bahati hiyo humu, na siwezi pata maamuzi ya kujulikana jf
aaaaaaa sasa wewe utapataje pm na hujaweka wezere kama langu!! ha ha ha ha ha nacheka kama mazuri juzi nlilitoa wezere nikaweka picha ingine nikapata pm nirudishe wezere eti linawapa hamu ya kusoma michango wakati in reaaly life nina bonge la flat Khadija Kopa akasome,kitu kingine nilichogundua ukifunguka kiduchu kuhusu sex tu ni shida,sasa ole wako ujichanganye ucoment hata topic ya mmu ipelekwe jukwaa la chini utakoma
 
Duuuh hili sikulijua, nashukuru umenishtua vema
 
Back
Top Bottom