Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
No, God didn't create equality, for a very good reasonYet you have spent your precious time reading it and typing a reply...
Welcome to the internet, a place where we are all equal.
Still typing some replies,....No, God didn't create equality, for a very good reason
Hahahahaah!!! Thubutu.... we jamaa nishakushitukia unaning'ong'a! Mi nasema hivi, we sio mwenzangu!!!Dadekiiii Chige wewe umeasi chama langu na kuanza kwenda kimya kimya,
Demiss kanipa taarifa zako bwana na nasema hivi kwakuwa wewe ni ndugu yangu basi tu naacha.
Wewe bana don't try to be like a wall. I have no interest talking to the wall.Still typing some replies,....
We are all equal here.
hizo sinaga kabisaUmbea umbea mkuu na tabia nyingine kama za kike
duh kweli Baraza la kiswahili limewanoa haswa mnaongea kiswahili fasahaUmbeaaa!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
nita ignorenakuja pm basi
Exactly kaka!Tatizo kizazi cha sasa kila mtu anataka aonekane anajua, yaani kila mtu ni mjuaji. Kizazi cha Teknohama hiki kina shida sana.
Bahati nzuri nimekutana na wenye akili kubwa tu humu especially my beloved wife, at least most of them wanajiheshimu, labda wachache tu, ila ukishamjua mtu hakusumbui unaachana nae tu.
Lakini sio...Wanaume humu kama mab**t
Pole sana shemela.Hapo kwenye kuwajua watu hapo yaani hapo hapo yamenikuta mm mtu unakutana nae jukwaani anakwambia shunie nakujua ww khee umenijuaje kumbe kuna pugi anasambaza picha zangu
We kaka endelea tu kusambaza picha zangu sawa eenh hivi unalipwa kwa mfano ukisambaza picha za mtu haya unanisambazia picha zangu ndio kwanza wananisifia hawanipondi kama ulitaka waniponde imekula kwako na uendelee vizuri kusambaza picha zangu mfyuuuuuu zako
Nitarudi