Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Kuanzia sasa nakaa kimya siombi tena watu kuwafata pm maana naona nshachoka mwisho ntakuja kunyewa kichwani na maji sina.
 
Tatizo kizazi cha sasa kila mtu anataka aonekane anajua, yaani kila mtu ni mjuaji. Kizazi cha Teknohama hiki kina shida sana.

Bahati nzuri nimekutana na wenye akili kubwa tu humu especially my beloved wife, at least most of them wanajiheshimu, labda wachache tu, ila ukishamjua mtu hakusumbui unaachana nae tu.
 
Exactly kaka!
 
Hapo kwenye kuwajua watu hapo yaani hapo hapo yamenikuta mm mtu unakutana nae jukwaani anakwambia shunie nakujua ww khee umenijuaje kumbe kuna pugi anasambaza picha zangu

We kaka endelea tu kusambaza picha zangu sawa eenh hivi unalipwa kwa mfano ukisambaza picha za mtu haya unanisambazia picha zangu ndio kwanza wananisifia hawanipondi kama ulitaka waniponde imekula kwako na uendelee vizuri kusambaza picha zangu mfyuuuuuu zako

Nitarudi
Pole sana shemela.
 
We learn through our mistakes, that's daily life principle of learning.

Hili kuna watu limewakuta, niwape pole lakini pia limekuwa funzo kwao na kwa wasomaji wengine wa jf..

I hope everyone will now play smart..
 
Back
Top Bottom