Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Nimetafakali sana baada ya kuona hujibu PM zangu, sijui na mimi nipo kundi hilo!!!!

Nambie tu ukweli nijue mapema
Hahahaaaa!!!hahahaaaa!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Halafu sijui anajisahau akishakutukana anakuwa hakumbuki yaani huwa simuelewi akiwa ananiquote
Jeuri tu huyu hana lolote!miye wala sjui kama hata nshawahi kumkosea yani watu humu kujifanya watakatifuuu!!!!
 
Hapo kwenye kuwajua watu hapo yaani hapo hapo yamenikuta mm mtu unakutana nae jukwaani anakwambia shunie nakujua ww khee umenijuaje kumbe kuna pugi anasambaza picha zangu

We kaka endelea tu kusambaza picha zangu sawa eenh hivi unalipwa kwa mfano ukisambaza picha za mtu haya unanisambazia picha zangu ndio kwanza wananisifia hawanipondi kama ulitaka waniponde imekula kwako na uendelee vizuri kusambaza picha zangu mfyuuuuuu zako

Nitarudi
Mamaku tu hawa.kuna mmoja aliniudhi sana .ila wala sijaligi upuuzi as long hajawai kunitoomba
 
Back
Top Bottom