Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Uwiiiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm nawataarifu kuwa nina picha nyingi za jf tena folder maalum kuna siku nikitaka kukumbuka watu humu huwa naenda kuangalia...kuna watu wanapiga picha wamelala kwny majani kama wametoka sitimbi jana.