Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Mm nawataarifu kuwa nina picha nyingi za jf tena folder maalum kuna siku nikitaka kukumbuka watu humu huwa naenda kuangalia...kuna watu wanapiga picha wamelala kwny majani kama wametoka sitimbi jana.
Uwiiiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una mpaka folder maalum Nokia kiboko kwahiyo ukimkumbuka mtu unaenda kumchungulia msalimie huyo aliyepiga picha kwenye majani
Mm nawataarifu kuwa nina picha nyingi za jf tena folder maalum kuna siku nikitaka kukumbuka watu humu huwa naenda kuangalia...kuna watu wanapiga picha wamelala kwny majani kama wametoka sitimbi jana.
 
Mm nawataarifu kuwa nina picha nyingi za jf tena folder maalum kuna siku nikitaka kukumbuka watu humu huwa naenda kuangalia...kuna watu wanapiga picha wamelala kwny majani kama wametoka sitimbi jana.
[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani kaah!!endelea kuzihifadhi hvyo hvyoo!!!
 
Haaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hili chaka kubwa wanawake wa humu wanababaika kwa post tamu za watu ila uhalisia wa mtu na maarifa itachukua century kuujua hapo ndio tatizo lillipo yakishatokea wanakuja kulalamika humu.heshima ni ngumu kuitambua kwa maandiko
Hili suala linacost wengi sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una mpaka folder maalum Nokia kiboko kwahiyo ukimkumbuka mtu unaenda kumchungulia msalimie huyo aliyepiga picha kwenye majani
Aliyepiga picha kwenye majani[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na ameweka ishara ya vidole viwili Juu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo unakuwa unamchora tu
Ninazo picha za mtu kapiga akiwa kwao mahenge kavaa gagulo refu zaidi ya sketi ila anavyotuponda humu kama sio yeye...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom