[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Picha gani tena hizo yaani wewe Nokia jamaniZile picha zako nilisave pia
Wapo etii. Sema sio ajabu. Mwenyewe nikivutiwa na mwandiko wako nakufuata kwani sh ngapi?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji121] [emoji121] [emoji23] [emoji23] [emoji23] msiende pm jamani
Hivi kuna wadada wanaendaga pm wenyewe kujitongozesha
Mamaku tu hawa.kuna mmoja aliniudhi sana .ila wala sijaligi upuuzi as long hajawai kunitoombaHapo kwenye kuwajua watu hapo yaani hapo hapo yamenikuta mm mtu unakutana nae jukwaani anakwambia shunie nakujua ww khee umenijuaje kumbe kuna pugi anasambaza picha zangu
We kaka endelea tu kusambaza picha zangu sawa eenh hivi unalipwa kwa mfano ukisambaza picha za mtu haya unanisambazia picha zangu ndio kwanza wananisifia hawanipondi kama ulitaka waniponde imekula kwako na uendelee vizuri kusambaza picha zangu mfyuuuuuu zako
Nitarudi
Nilikua miss 2011. Sasa hivi hadi najiogopa [emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana unaweza kua miss pia lakini kipindi hichoo
Hahahaaaa!!!hahahaaaa!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
EeenhWapo etii. Sema sio ajabu. Mwenyewe nikivutiwa na mwandiko wako nakufuata kwani sh ngapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mamaku tu hawa.kuna mmoja aliniudhi sana .ila wala sijaligi upuuzi as long hajawai kunitoomba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wewe akili zako unazijua mwenyeweMamaku tu hawa.kuna mmoja aliniudhi sana .ila wala sijaligi upuuzi as long hajawai kunitoomba
Inaongeza cash kwa bank account yako.Sasa kujuana nako ni deal mazee?
unijue au nikujue inasaidia nini !
Mwambie hizo picha apeleke itv[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]