Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Ww kama ulimtumia mtu picha yako humu halaf akaivujisha jua ninayo [emoji23][emoji23][emoji15]
 
Kuna watu wanaonaga kumjua mwanamke wa jf ni big deal sana.sisi ni watu wa kawaida tu.hata tukipigwa miti ni kawaida tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wacha nipige kaserengeti kagrmet kamoja hapa huku naangalia walimbwende wakipita nikitafakar hatima ya taifa teule
 
Leo umeamka na mm eenh haya mambo yameanza lini ya kunisumbua sumbua nenda pm ya mzigua ipo wazi kamwandikie unachotaka kuniambia atanitumia screenshot
Kwahiyo madam mi ndo PA wako eeh? Mscheeewww. Wakituma maneno ntakupa pesa ntabaki nazo mwenyewe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe kwa mdomo wako ungekuwa na picha yangu ungeshaongea mm sijamtumia mtu picha huyo pugi alikuwa anaiba kwa dp WhatsApp we kaka ulaaniwe mfyuu zako unajifanya wa heshima dada sijui nini dada
Ww kama ulimtumia mtu picha yako humu halaf akaivujisha jua ninayo [emoji23][emoji23][emoji15]
 
Message sent and delivered. Hata hao wanaoitwa mapugi kuna muda wanaenda kujaribu kupima uwezo wa simba akiona kina kirefu anaondoka kwa kinyongo kwanini kashindwa kumuwinda simba.
 
Ukiwa na stress zako ingia jf dawa tosha kabisa. Ahsantee mello kwa jukwaaa hili mhudumu ongeza kama tulivyo mwite wa jikon kilo tatu mbuzi katoliki plipili usisahau na kachumbar ya matango. Karibu wadau[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…