Vyuma ndio vinatutenga mama.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] anatuona soteer.....umenitenga mnoooo!!![emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha tu I wish I cudu bi able tu biwitch sambodi ende kili him
Nae ni wangu, maisha kusaidiana jamani.Mo11umempa nani?
Zabibu sio dhabibu.Dodoma kuna wine nzuri sana za asili na dhabibu
Hizo hazijaiva, ngoja nimtafutie mchepuko hizi siku mbili atajua tu.Dodoma kuna wine nzuri sana za asili na dhabibu
Movie kweli jaman?? Muekee carton huyo mtuKabla ya yote naomba movie nzuri za katoto kangu ka miezi Tisa mama mkwe
As long as tunaishi haya mambo hayatoisha, hatuwezi kufanana dunia nzima. Tujifunze tu kuishi kulingana na mazingira. Haya mambo yako tangu enzi na enzi, japo kukumbushana sio mbaya.Ninachoomba tujifunze kama binadamu kufilter nini cha kuongea na wapi. Kwa mfano mmetoka na mtu humu iwe dinner au club au wapi yanayotendeka yaishie humo. Sio jambo baya hata kujuana na member wote humu ila ukionana nao yaishie huko mlichoongea mlichofanya au chochote kile. Kubeba kitu ukakirudisha kwa mtu ambae mlimuongelea sio fresh ni kaunafki fulani.
Kuna watu wanaandika vizuri sana kwenye majukwaa ila hawana siri kwa wanaokutana nao nje ya jukwaa. Hata kama mmekutana kituoni atamtafuta member mwingine huku amwambie jana nilikua na mzigua kituoni morocco ikawa hiki ikawa kile. Hiyo sio poa maana hao wanaoambiwa nao wanarudisha tena. Watu wazima sisi tutendee haki miaka yetu kwa vitendo kwenye majukwaa pm na mtaani ikitokea. Mnatuaminisha na miandiko ya adabu mtu unajua amepata rafiki kumbe mtu mmbea bwana
Ndo hizo nataka cartoonMovie kweli jaman?? Muekee carton huyo mtu
ninawajua wanne ila wote wamewahiwa mdogo wangu sasa ngoja tuendelee kufanya analysis nitakushtuaNijulishe na mimi hao
Mchumba nahangaika na hangover hapa... natamani kitimoto mchumba [emoji21]Mchumba, umekunywa nini leo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Unanisema mkwe eeehDodoma kuna wine nzuri sana za asili na dhabibu
Mchepuko wa nini kwani sikutoshi eti??Hizo hazijaiva, ngoja nimtafutie mchepuko hizi siku mbili atajua tu.
Yes maaAs long as tunaishi haya mambo hayatoisha, hatuwezi kufanana dunia nzima. Tujifunze tu kuishi kulingana na mazingira. Haya mambo yako tangu enzi na enzi, japo kukumbushana sio mbaya.
Kweli kabisa.Ila pia humu kuna wanaume full package,wa maana hasa shida tu ipo kwenye kuwajua,ila ukituliza kichwa rahisi sana kuwajua
Acha tu I wish I cudu bi able tu biwitch sambodi ende kili him
Hahahahaha aiseeeninawajua wanne ila wote wamewahiwa mdogo wangu sasa ngoja tuendelee kufanya analysis nitakushtua
Okay sis.ninawajua wanne ila wote wamewahiwa mdogo wangu sasa ngoja tuendelee kufanya analysis nitakushtua
Nikajua mdudu unataka kula