mimi nakusalimia, nimekumiss pia
ban njema ndugu yangu maana naona hata saa 10 hutatoboa
😀😀Ujumbe umefika
Naunga mkonyo hojaMtaje iwe fundisho kwa wengine.
Yy anajisikia raha huko kunisambazia picha yangu niliyofanana na na baba angu akikaa na watu wake huko anawaonyesha we kaka endelea salaam zako nazidi kupata utafurahiHaaa!jamani ndo maana sitoi namba zangu kirahisi naogopa Mimi!sura lenyewa baya hiviiii![emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]jamanii
Jf kama dampo la Pugu vile kila kitu unakipta..Ila pia humu kuna wanaume full package,wa maana hasa shida tu ipo kwenye kuwajua,ila ukituliza kichwa rahisi sana kuwajua
Pm yangu hujibu toka mwez march...Naunga mkonyo hoja
Kaka angu huo mstari wa kwanza umemaliza na anapenda sana kila mwana jf amjue yaani ndio zake hizoKuna watu wanapenda kutafuta "sifa" za kijinga ili na yeye aonekane mjanja mbele ya wenzake kwa kusema anamfahamu mtu fulani.
By the way kama yeye anapata sifa kwa ajili ya picha zako, basi wewe ni maarufu kumzidi yeye, mpotezee tu na kumwacha kama alivyo. Kwenye Jamii hii kuna watu wenye akili za kila namna.
Anapata faida gani akifanya hivyo?Yy anajisikia raha huko kunisambazia picha yangu niliyofanana na na baba angu akikaa na watu wake huko anawaonyesha we kaka endelea salaam zako nazidi kupata utafurahi
Tabia za ki pu....
[emoji23] [emoji23] [emoji23]usikubali kukutwa na bwana peps hata siku moja!!yaani nilivyo na shepu baya kama kabati mwenzenu acha niendeleee kukaa kimya nisiwajibu!Acha tu mama mwenyewe unajiongelesha kwenye thread unajidanganya mm kipotabo mtu anakuquote we shunia acha uongo nakujua mm mbona ww kibonge cheusi unajiuliza kanijuaje mwisho wa siku kumbe ana ukaribu na bwana pepsi picha alionyeshwa na bwana pepsi
Usikubali kukutwa na bwana pepsi kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] hapana usichafue hali ya hewa hapatakalikaa
kweli jf imekuwa mpya sasa, naona umeshazoea ban umekuwa sugu sasaNafurahi kwa mara ya kwanza napata notification zako hizo ban acha wanipe tu hawajisikii raha kabisa bila kunipa
Shikamoo jamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
huu uzi naona umesema wa kichit-chat lakini mapovu ya ukweli naona ban zitahusika hapa na hivi bana inavyopatikana kwa bei rahisi, nikutakie na wewe ban njema
We dada naomba uniache nitoe maduku duku yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatariii hiii!!!
Kuonekana anatajua sana hyo ndo faida yake!Daaaah pole sana Shuniie..
Kwakweli bora niwe na mawasiliano na wanaume tu wa JF. Sasa anapata faida gani???